Genesis 41:55

55Wakati nchi yote ya Misri ilipopatwa na njaa, watu wakamlilia Farao ili awape chakula. Ndipo Farao alipowaagiza Wamisri wote, akisema, “Nendeni kwa Yusufu, nanyi mfanye anachowaambia.”

Copyright information for SwhKC